.

.

VIDEO: ‘Ibaki story’ ya Rich Mavoko ilivyotengenezwa South Africa


Tunayo single mpya sasa hivi kwenye Radio na TV inaitwa ‘ibaki story’ ya Rich Mavokoambaye juzi ametangazwa kusainiwa kwenye lebo ya Diamond Platnumz WCB, pamoja na kuyaona au kufikiwa na stori zote hizo inawezekana hukufikiwa na video inayoonyesha jinsi hiyo video ilivyotengenezwaSouth Africa.




Share on Google Plus

About UPStream Telecom

0 comments:

Post a Comment