Aliekuwa mwenyekiti wa simba, awapa somo Simba 17:26:00 Add Comment MWENYEKITI wa zamani wa Klabu ya Simba Ismail Rage, amewataka viongozi waliopo madarakani kupunguza malumbano na wachezaji ili kujenga k... Read More
Bilioni 2.6/= zafanikiwa kukusanywa na TBA 17:18:00 Add Comment MKURUGENZI MKUU WA TBA, ELIUS MWAKALINGA WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umesema tayari umekusanya Sh bilioni 2.6 ikiwa ni zaidi ya a... Read More
Bajeti ya afya kuongezwa hadi 15% 17:10:00 Add Comment MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Tano imejipanga kuhakikisha inaongeza bajeti ya sekta ya afya hadi kuf... Read More
Liverpool yamsaka Sadio Mane 16:31:00 Add Comment Liverpool imeanza kumwinda mshambuliaji wa Southampton Sadio Mane katika uhamisho wa kitita cha pauni milioni 30. Mkufunzi wa klabu ... Read More
Mtanange mzito kati ya Shelisheli na Serengeti Boys 16:22:00 Add Comment Image caption Serengeti boys Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa ku wasili usiku huu kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya... Read More
Amani ya Zanzibar si shwari, Risasi Zarindima, watatu Wajeruhiwa 13:12:00 Add Comment Watu watatu wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na kupelekwa hospitali ya Alr... Read More
Waziri Mkuu, David Cameron atangaza kujiuzulu rasmi 13:09:00 Add Comment Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katik... Read More
Serikali Yafuta Adhabu ya Jela Kuhusu Kutodai Risiti 13:05:00 Add Comment Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango, amefafanua adhabu ya kosa la kutotoa ama kudai risiti katika manunuzi na kusema... Read More
Breaking News: Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016 Hawa hapa 12:13:00 Add Comment OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi ... Read More
Bilioni 2/= kuendeleza kilimo 15:28:00 Add Comment KAMPUNI ya utoaji mikopo ya Yetu, imesema inatarajia kutumia Sh bilioni mbili kuwanufaisha wakulima nchini kwa ajili ya kuendeleza kilimo... Read More
Huduma za kibenki sasa mpaka mlangoni mwa mteja 15:22:00 Add Comment Mkurugenzii mtendaji wa benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed BENKI ya Barclays Tanzania imesema ufunguzi wa matawi mapya unaofanyi... Read More
10,000 waajiriwa na kampuni ya SAGCOT 15:18:00 Add Comment Mwenyekiti wa bodi ya SAGCOT, Balozi Ami Mpungwe KAMPUNI tano zilizopata ufadhili wa fedha kutoka katika Mfuko Kichocheo wa Ukanda wa ... Read More
Uelewa kwa viongozi wapunguza migogoro 15:16:00 Add Comment SHIRIKA lisilo la kiserikali la Pelum Association, limesema migogoro ya ardhi imeonekana kupungua katika maeneo mbalimbali wilayani Bahi... Read More
Maliasili, utalii sasa kuendeshwa KIJESHI 15:14:00 Add Comment Waziri wa mali asili na utalii, Jumanne maghembe WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, ametangaza kuwapo mageuzi ka... Read More
Benki ya dunia yachangia bilioni 400. kwaajili ya umeme vijijini 14:48:00 Add Comment Mkurugenzi mkazi wa benki ya dunia nchini Tanzania, Bella Bird BODI ya Wakurugenzi ya Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa Dola za Mare... Read More
Mabaya ya sistimu mpya ya uber, madereva taksi waigomea 14:41:00 Add Comment Baada ya kampuni ya huduma ya usafiri ya Uber kuzindua huduma yake jijini Dar es Salaam wiki kadhaa zilizopita, madereva taksi wa jiji la... Read More
Maskini baba Diamond, azidiwa ghafla... Diamond asemaje!? 14:30:00 Add Comment Maskini wee! Baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma ‘Baba D’ anaumwa sana! Ndivyo Risasi Mchangany... Read More
Wahusika waachishwe kazi na wafikishwe TAKUKURU, aagiza Waziri baada ya tume kubaini ufisadi mkubwa bandarini 14:25:00 Add Comment SERIKALI imebaini ufisadi mkubwa ndani ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) kutokana na kukamilika kwa kazi ya Tume iliyoundwa mahusu... Read More
Asema mwenyewe Naj, kuhusu ujauzito wa Baraka da prince 14:19:00 Add Comment June 22 2016 mwigizaji na msanii wa bongofleva Naj ali-trend na habari kuwa ana ujauzito wa mwimbaji wa bongofleva Baraka Da Prince sasa ... Read More
Ivi diamond kakosa washauri kuhusu hili la baba yake mzazi!! 14:16:00 Add Comment Katika hili la mzazi wake wa kiume mimi binafsi limenigusa hasa kwa imani yangu ya dini. Siwezi kuhukumu moja kwa moja kwa maana sijui ch... Read More
Bado kuoa, nina wanawake kama sita ivi bdo nawapima, Asema Afande sele 14:14:00 Add Comment Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yu... Read More