.

.

Wakati wa kujenga ndio huu, Saruji kuanza kuuzwa bei nafuu julai

KAMPUNI ya kuzalisha saruji ya Dangote ya Mtwara imesisitiza azma yake ya kuuza saruji kwa gharama nafuu, kuwawezesha wananchi wa kipat...
Read More

Kichapo kuchezea, vichura kurukishwa na mapomu kupigwa!!

MABOMU ya machozi jana yalipigwa nje ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwatawanya mashabiki wa soka waliokuwa wakilazimisha ku...
Read More

Pongezi na Hongera kwake Mheshimiwa Rais!

Rais John Magufuli SIKU chache baada ya uteuzi wa wakuu wa wilaya, Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania limeeleza kufurahishwa na namna ...
Read More

Sheria mpya ya manunuzi ni kiboko..

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango MAREKEBISHO ya Sheria mpya ya Manunuzi, yamewasilishwa bungeni yakitamka kufyeka posho z...
Read More

Kweli TZ tajiri, na hili pia!? Utajiri huooo

Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo GESI ya helium ya takribani futi za ujazo bilioni 54 inayoelezwa kuwa adimu dun...
Read More

YANGA chaaliii!!, TP MAZEMBE waalee

MAMBO bado si mazuri kwa Yanga katika michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Afrika (CAF CC) baada ya jana kukubali kipigo cha bao 1...
Read More

Ole wao wafanya biashara wanaokwepa kutoa risiti za EFD

 Naibu waziri wa Fedha na Mipango, Dk ashatu kijaji NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Ashatu Kijaji amesema baadhi ya wafanyabi...
Read More

Ajali ya basi, watano wafariki papo hapo!! 26 hoi

 Kamanda wa mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi WATU watano wamekufa baada ya basi aina ya Super Sami, mali ya Kampuni ya Super Sami lililo...
Read More

Bilioni 2.6/= zafanikiwa kukusanywa na TBA

MKURUGENZI MKUU WA TBA,  ELIUS MWAKALINGA WAKALA wa Majengo Tanzania (TBA) umesema tayari umekusanya Sh bilioni 2.6 ikiwa ni zaidi ya a...
Read More

Amani ya Zanzibar si shwari, Risasi Zarindima, watatu Wajeruhiwa

Watu watatu wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi na askari wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na kupelekwa hospitali ya Alr...
Read More

Waziri Mkuu, David Cameron atangaza kujiuzulu rasmi

Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katik...
Read More

Serikali Yafuta Adhabu ya Jela Kuhusu Kutodai Risiti

Waziri wa Fedha na Mipango nchini, Dkt. Philip Mpango, amefafanua adhabu ya kosa la kutotoa ama kudai risiti katika manunuzi na kusema...
Read More

Breaking News: Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016 Hawa hapa

OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.  Wanafunzi ...
Read More